-->

UTHIBITISHO

0


 Kazi ya mpinga Kristo (666)Ni kuja kutesa na kuwaua wafuasi wa Yesu Kristo ✍️

UTHIBITISHO WA MAANDIKO ✍️

UFUNUO WA YOHANA ALIOPEWA NA YESU KUHUSU NYAKATI ZA MWISHO✍️

UFNUO 13:5-10👉Mnyama aliruhusiwa kujigamba na kumtukana Mungu na kutumia nguvu zake kwa miezi arobaini na mbili✍️

Mnyama alifungua kinywa chake ili amtukane Mungu,Alitukane Jina lake(Yesu)mahali anapoishi,Na wale wote wanaoishi Mbinguni.

Alipewa uwezo wa kufanya Vita na watakatifu wa Mungu na kuwashinda✍️

Alipewa uwezo juu ya kila Kabila,Asili,Lugha na Taifa✍️

Kila anayeishi Duniani angemwabudu mnyama.

Hawa ni watu wote ambao majina Yao hayakuandikwa katika kitabu cha uzima Cha mwanakondoo ndiye yule aliyeuawa(Yesu).

Kila mtu anayesikia mambo haya azingatie hili.

Yeyote ambaye Ni lazima awe mfungwa,Atakuwa mfungwa✍️

Hii Ina maanisha kwamba watakatifu wa Mungu Lazima wawe na subira na Imani✍️

666 Ni chapa ya mpinga Kristo ambayo Ni Ufunuo aliopewa Yohana na Yesu kuhusu mambo yajayo katika siku za mwisho✍️Open link

Tags

Post a Comment

0Comments

123

Post a Comment (0)