-->
UBINADAMU KAZI
  • Home
  • _Contact us
  • _About us
  • New song 2023
  • _New song 2023
  • Videos
  • _Music
  • Form
  • _forms
  • Matangazo
  • _Matangazo
  • _DON BOSCO
  • PDF
  • _HTML PDF
  • _form
Home Kocha wa Yanga aeleza sababu ya kumuanzisha nje BM33 licha ya ubora wake.

Kocha wa Yanga aeleza sababu ya kumuanzisha nje BM33 licha ya ubora wake.

Author - personABY
June 03, 2023
0
share
Kocha wa Yanga aeleza sababu ya kumuanzisha nje BM33 licha ya ubora wake.

"Watu wengi wanataka kumuona Morrison anacheza lakini sisi makocha ndio tunajua ubora wa kila mchezaji kwa kila dakika kuanzia mazoezini mpaka uwanja wa mchezo," - Nasreddine Nabi

Nabi amesema anatamani kumtumia Morrison kwa muda zaidi pengine kuliko mtu yoyote lakini kutopenda mazoezi makali ndio kitu kinachokwamisha kumpa muda mrefu.

"Morrison wa Sasa ni vigumu kumpa muda zaidi ya huu tunaompa labda abadalike kwa kujiweka tayari zaidi, ni mchezaji mwenye kipaji kikubwa sana ndio maana tulimleta hapa lakini kwasasa hayuko tayari kucheza kwa muda mrefu zaidi ya huu tunaompa watu waelewe hili,"amesema Nabi 


 


"Hakuna kocha ambaye ataamua kumweka nje Morrison kwa kipaji chake kama yuko sawasawa, watu wasidhani sisi makocha hatupendi kuona timu inashinda Mimi sio kocha wa kumpa nafasi mchezaji kwa jina lake au presha ya nje ya uwanja tofauti na kile anachonionyesha uwanja wa mazoezi"

Aidha Nabi ameongeza kuwa kikosi chake kitakachocheza kesho kwenye mchezo wa pili wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji wao USM Alger anaamini kutakuwa na ubora mkubwa wa kuipigania timu hiyo kutwaa Ubingwa.

"Tulipoteza nyumbani kutokana na presha ya mchezo. Hatuna cha kupoteza Algeria. Naamini timu yangu itacheza vizuri"

©️ Nasreddine Nabi

Via Mwanaspoti... Follow hii page Kwa habari zote za michezo #yangachampions.
  • Facebook
  • Twitter
  • Whatsapp
  • Newer

  • Older

ABY

ABY

kuanzia sifuri ni kama kuanzia msingi na ni njia bora ya kuanza kitu

    You may like these posts

    Post a Comment

    0Comments

    123

    Post a Comment (0)

    Adsense

    HEAD

    UBINADAMU KAZI

    chat on whatssap

    social media

    Start scrolling the page and a strong "Back to top" button will appear in the bottom right corner of the screen.

    Click this button and you will be taken to the top of the page.

    Social Plugin

    • facebook
    • whatsapp
    • instagram
    • youtube
    • Twiter

    Popular Posts

    BENNY SHIZOL-SIPO HURU MP3 Audio
    new song 2023

    BENNY SHIZOL-SIPO HURU MP3 Audio

    ABY ABY August 30, 2023
    Music

    Music

    May 04, 2023
    KIKOSI CHA YA CHA SIKU YA KWANZA
    MICHEZO

    KIKOSI CHA YA CHA SIKU YA KWANZA

    June 03, 2023
    How to add Google Forms to your website
    Google Forms to your website

    How to add Google Forms to your website

    October 11, 2023

    Comments

    4/comments/show

    Labels

    • "3
    • "ADVERTISEMENT2
    • ADVERTISEMENT2
    • BONGO FLEVA10
    • BURUDANI5
    • CHUO CHA UFUNDI MATANGAZO1
    • code za link ya kudownload1
    • DESICN1
    • Document Object Model1
    • EDUCATION1
    • Event5
    • Features and Examples1
    • Film4
    • FORM2
    • forms1
    • Google Forms1
    • Google Forms to your website1
    • HA tunnel free internet and settings1
    • HABARI22
    • HISTORIA4
    • How TO - More Button in Navbar1
    • How TO - Read More Read Less Button1
    • How To Make Signup Page Using HTML And CSS | Create ...1
    • html4
    • ICT1
    • Instrumental1
    • Java script object1
    • JavaScript Classes1
    • JavaScript Form Validation1
    • LISHE2
    • LOGO2
    • MAFUNZO1
    • MICHEZO24
    • MISEMO7
    • MUSIC7
    • NEW SONG2
    • new song 20233
    • PDF4
    • POSTER DESIGN1
    • SIMULIZI3
    • story1
    • TANGAZO4
    • TRAINING1
    • Web Browser – Definition1
    UBINADAMU KAZI
    Powered by Blogger
    https://policies.google.com/privacy?hl=en

    Chat on WhatsApp

    https://wa.me/0629602255

    Report Abuse

    Search This Blog

    POST ARCHIVE

    • 2023146
    • 202410

    Facebook

    UBINADAMU KAZI

    • UBINADAMU KAZI
      -

    Random Posts

    3/random/post-list
    • Home
    • About
    • Contact
    • Home
    • Features
    • _Multi DropDown
    • __DropDown 1
    • __DropDown 2
    • __DropDown 3
    • _ShortCodes
    • _SiteMap
    • _Error Page
    • Mega Menu
    • Documentation
    • _Web Doc
    • _Video Doc

    Footer Menu Widget

    • Home
    • About
    • Contact Us

    Text

    Inatoa matangazo yanafasi za masomo kama vile computer,tailor, cooker, Rehabilitation, education, football and e.t.c

    Contact form

    Name

    Email *

    Message *

    Followers

    Tags

    • "
    • "ADVERTISEMENT
    • ADVERTISEMENT
    • BONGO FLEVA
    • BURUDANI
    • CHUO CHA UFUNDI MATANGAZO
    • code za link ya kudownload
    • DESICN
    • Document Object Model
    • EDUCATION
    • Event
    • Features and Examples
    • Film
    • FORM
    • forms
    • Google Forms
    • Google Forms to your website
    • HA tunnel free internet and settings
    • HABARI
    • HISTORIA
    • How TO - More Button in Navbar
    • How TO - Read More Read Less Button
    • How To Make Signup Page Using HTML And CSS | Create ...
    • html
    • ICT
    • Instrumental
    • Java script object
    • JavaScript Classes
    • JavaScript Form Validation
    • LISHE
    • LOGO
    • MAFUNZO
    • MICHEZO
    • MISEMO
    • MUSIC
    • NEW SONG
    • new song 2023
    • PDF
    • POSTER DESIGN
    • SIMULIZI
    • story
    • TANGAZO
    • TRAINING
    • Web Browser – Definition

    About Us

    About Us
    FACEBOOK ubina damu kazi

    Categories

    • " (3)
    • "ADVERTISEMENT (2)
    • ADVERTISEMENT (2)
    • BONGO FLEVA (10)
    • BURUDANI (5)
    • CHUO CHA UFUNDI MATANGAZO (1)
    • code za link ya kudownload (1)
    • DESICN (1)
    • Document Object Model (1)
    • EDUCATION (1)
    • Event (5)
    • Features and Examples (1)
    • Film (4)
    • FORM (2)
    • forms (1)
    • Google Forms (1)
    • Google Forms to your website (1)
    • HA tunnel free internet and settings (1)
    • HABARI (22)
    • HISTORIA (4)
    • How TO - More Button in Navbar (1)
    • How TO - Read More Read Less Button (1)
    • How To Make Signup Page Using HTML And CSS | Create ... (1)
    • html (4)
    • ICT (1)
    • Instrumental (1)
    • Java script object (1)
    • JavaScript Classes (1)
    • JavaScript Form Validation (1)
    • LISHE (2)
    • LOGO (2)
    • MAFUNZO (1)
    • MICHEZO (24)
    • MISEMO (7)
    • MUSIC (7)
    • NEW SONG (2)
    • new song 2023 (3)
    • PDF (4)
    • POSTER DESIGN (1)
    • SIMULIZI (3)
    • story (1)
    • TANGAZO (4)
    • TRAINING (1)
    • Web Browser – Definition (1)

    Translate

    {ads}

    Responsive Advertisement

    Subscribe Us

    Footer Menu Widget

    • Home
    • About
    • Contact Us

    Random Posts

    3/random/post-list

    Privacy policy

    https://policies.google.com/privacy?hl=en

    Subscribe Us

    Most Popular

    October 20, 2023

    form

    Form

    Form











    UBINADAMU KAZI

    Made with education and dis abled children

    UkTemplate is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable
    Design by - Free Blogger Templates | Distributed by Free Blogger Templates
    • Home
    • About
    • Contact us
    • Privacy Policy
    • Whatssap

    Contact form

    Share to other apps
  • Facebook
  • Twitter
  • Whatsapp
  • Telegram
  • Pinterest
  • LinkedIn
  • Reddit
  • Tumblr
  • Email
  • Copy Post Link