Aliyewahi kuwa kocha wa Arsenal ya Uingereza,Mfaransa Arsën Wenger amewasili Tanzania akiwa na Rais wa FIFA Gianni Infantino pamoja na mwamuzi mkongwe wa soka Pierluigi Collina raia wa Italia ambaye kwa sasa ni Rais Wa waamuzi ndani ya FIFA Wamekuja Nchini kwa ajili ya ufunguzi Wa michuano ya African Football League mchezo Kati ya Simba vs Al Ahly leo saa 12 Mkapa stadium🏟
Kivukokilichogharimu
123