-->
UBINADAMU KAZI
  • Home
  • _Contact us
  • _About us
  • New song 2023
  • _New song 2023
  • Videos
  • _Music
  • Form
  • _forms
  • Matangazo
  • _Matangazo
  • _DON BOSCO
  • PDF
  • _HTML PDF
  • _form
Home MICHEZO MICHEZO

MICHEZO

Author - personABY
April 29, 2023
0
share

 THE GIANTS IS LOST AGAINST GIANT


Ni kwa mara ya nne Simba anatolewa katika Hatua ya Robo Fainal Lakini Ni kwa mara ya pili Simba anatolewa kwa changamoto ya mikwaju ya Penati.


Unajua Sababu nini?


Mwanasimba usilaumu kutolewa Katika hatua hizo,Maji yameshamwagika Cha kufanya Ni kuangalia nini huwa kinakwanza tusivuke hatua Nusu Fainal?


1.Ubora wa Wachezaji wetu Katika Mashindano haya.Baadhi ya Wachezaji wa Simba hawana quality ya kucheza Mashindano hayo Lakini unapoichukua Club ya Simba ukafananisha zile Club 10 bora Simba wanazidiwa kila kitu.Leo Kikosi Cha Billion 5 kimecheza na Kikosi Cha Billion 60 ,unaona utofauti ulivyo?

Hata Hivyo Tuwapongeze Sana Wachezaji wa Simba wamejitahidi sana.


2.Bajeti ya Timu haikizi mahitaji yetu huwezi kutumia Billion 5 sokoni eti unajiandaa kushindana na mtu aliyetumia billion 60 sokoni yaaani ni Mbingu na Ardhi.Kwahiyo Simba walipofikia wanastahili pongezi kubwa sana lakini wanapaswa watengeneze Road Map kwaajiri ya Misimu ijayo.


3.wapigaji Ni Tatizo ndani ya Club ndiyo wanahusika kutuletea Wachezaji wabovu, ukiambiwa Milioni Zaid ya 200 zimetumika kumleta Sawadogo utaamini, wamemleta Mohamed Ourttara Hana msaada,Unapomsajiri Mchezaji wa kigeni maana yake awe na Uwezo wa kuingia moja kwa moja Kikosini na Siyo kuja kukaa Benchi Mwisho Wa Siku unakuta umetumia Billion 5 za Usajiri Halafu hazukupeleki popote,leo hii Mchezaji wakigeni Kama Sawadogo anawekwa Benchi na Erasto Nyoni, Sasa kulikuwa na Haja gani kutumia gharama hizo kumleta Mchezaji kutoka inje.


4 Poor Scouting, Tumeshindwa ku scout Wachezaji wazuri kutoka kwenye mataifa mbalimbali Africa.


Nini Simba wafanye?


1.Zifanyike Scouting za Uhakika, Kabla hujamsajiri Mchezaji nafatilia ujuridhishe mwenyewe, tuache kwenye kuangalia YouTube ndiyo tusajiri, Nilimuangalia Sawadogo YouTube Ni Mchezaji Mzuri sana Ila ukija kwenye Pitch hakuna, Kwahiyo Eneo la Scouting liwe Imara sana achane janjajanja.


2.Ziba mianya ya wapigaji , Sajiri Quality Players kwa Gharama then tukutane Msimu Ujao.


All in all Simba wamecheza kichampioni sana hadi mwarabu jukwaani walinyamaza kimya.leo tumeona Tafsir ya Giants kwenye mpira.



Tags
MICHEZO
  • Facebook
  • Twitter
  • Whatsapp
  • Newer

  • Older

ABY

ABY

kuanzia sifuri ni kama kuanzia msingi na ni njia bora ya kuanza kitu

    You may like these posts

    Show more

    Post a Comment

    0Comments

    123

    Post a Comment (0)

    Adsense

    HEAD

    UBINADAMU KAZI

    chat on whatssap

    social media

    Start scrolling the page and a strong "Back to top" button will appear in the bottom right corner of the screen.

    Click this button and you will be taken to the top of the page.

    Social Plugin

    • facebook
    • whatsapp
    • instagram
    • youtube
    • Twiter

    Popular Posts

    BENNY SHIZOL-SIPO HURU MP3 Audio
    new song 2023

    BENNY SHIZOL-SIPO HURU MP3 Audio

    ABY ABY August 30, 2023
    Music

    Music

    May 04, 2023
    KIKOSI CHA YA CHA SIKU YA KWANZA
    MICHEZO

    KIKOSI CHA YA CHA SIKU YA KWANZA

    June 03, 2023
    How to add Google Forms to your website
    Google Forms to your website

    How to add Google Forms to your website

    October 11, 2023

    Comments

    4/comments/show

    Labels

    • "3
    • "ADVERTISEMENT2
    • ADVERTISEMENT2
    • BONGO FLEVA10
    • BURUDANI5
    • CHUO CHA UFUNDI MATANGAZO1
    • code za link ya kudownload1
    • DESICN1
    • Document Object Model1
    • EDUCATION1
    • Event5
    • Features and Examples1
    • Film4
    • FORM2
    • forms1
    • Google Forms1
    • Google Forms to your website1
    • HA tunnel free internet and settings1
    • HABARI22
    • HISTORIA4
    • How TO - More Button in Navbar1
    • How TO - Read More Read Less Button1
    • How To Make Signup Page Using HTML And CSS | Create ...1
    • html4
    • ICT1
    • Instrumental1
    • Java script object1
    • JavaScript Classes1
    • JavaScript Form Validation1
    • LISHE2
    • LOGO2
    • MAFUNZO1
    • MICHEZO24
    • MISEMO7
    • MUSIC7
    • NEW SONG2
    • new song 20233
    • PDF4
    • POSTER DESIGN1
    • SIMULIZI3
    • story1
    • TANGAZO4
    • TRAINING1
    • Web Browser – Definition1
    UBINADAMU KAZI
    Powered by Blogger
    https://policies.google.com/privacy?hl=en

    Chat on WhatsApp

    https://wa.me/0629602255

    Report Abuse

    Search This Blog

    POST ARCHIVE

    • 2023146
    • 202410

    Facebook

    UBINADAMU KAZI

    • UBINADAMU KAZI
      -

    Random Posts

    3/random/post-list
    • Home
    • About
    • Contact
    • Home
    • Features
    • _Multi DropDown
    • __DropDown 1
    • __DropDown 2
    • __DropDown 3
    • _ShortCodes
    • _SiteMap
    • _Error Page
    • Mega Menu
    • Documentation
    • _Web Doc
    • _Video Doc

    Footer Menu Widget

    • Home
    • About
    • Contact Us

    Text

    Inatoa matangazo yanafasi za masomo kama vile computer,tailor, cooker, Rehabilitation, education, football and e.t.c

    Contact form

    Name

    Email *

    Message *

    Followers

    Tags

    • "
    • "ADVERTISEMENT
    • ADVERTISEMENT
    • BONGO FLEVA
    • BURUDANI
    • CHUO CHA UFUNDI MATANGAZO
    • code za link ya kudownload
    • DESICN
    • Document Object Model
    • EDUCATION
    • Event
    • Features and Examples
    • Film
    • FORM
    • forms
    • Google Forms
    • Google Forms to your website
    • HA tunnel free internet and settings
    • HABARI
    • HISTORIA
    • How TO - More Button in Navbar
    • How TO - Read More Read Less Button
    • How To Make Signup Page Using HTML And CSS | Create ...
    • html
    • ICT
    • Instrumental
    • Java script object
    • JavaScript Classes
    • JavaScript Form Validation
    • LISHE
    • LOGO
    • MAFUNZO
    • MICHEZO
    • MISEMO
    • MUSIC
    • NEW SONG
    • new song 2023
    • PDF
    • POSTER DESIGN
    • SIMULIZI
    • story
    • TANGAZO
    • TRAINING
    • Web Browser – Definition

    About Us

    About Us
    FACEBOOK ubina damu kazi

    Categories

    • " (3)
    • "ADVERTISEMENT (2)
    • ADVERTISEMENT (2)
    • BONGO FLEVA (10)
    • BURUDANI (5)
    • CHUO CHA UFUNDI MATANGAZO (1)
    • code za link ya kudownload (1)
    • DESICN (1)
    • Document Object Model (1)
    • EDUCATION (1)
    • Event (5)
    • Features and Examples (1)
    • Film (4)
    • FORM (2)
    • forms (1)
    • Google Forms (1)
    • Google Forms to your website (1)
    • HA tunnel free internet and settings (1)
    • HABARI (22)
    • HISTORIA (4)
    • How TO - More Button in Navbar (1)
    • How TO - Read More Read Less Button (1)
    • How To Make Signup Page Using HTML And CSS | Create ... (1)
    • html (4)
    • ICT (1)
    • Instrumental (1)
    • Java script object (1)
    • JavaScript Classes (1)
    • JavaScript Form Validation (1)
    • LISHE (2)
    • LOGO (2)
    • MAFUNZO (1)
    • MICHEZO (24)
    • MISEMO (7)
    • MUSIC (7)
    • NEW SONG (2)
    • new song 2023 (3)
    • PDF (4)
    • POSTER DESIGN (1)
    • SIMULIZI (3)
    • story (1)
    • TANGAZO (4)
    • TRAINING (1)
    • Web Browser – Definition (1)

    Translate

    {ads}

    Responsive Advertisement

    Subscribe Us

    Footer Menu Widget

    • Home
    • About
    • Contact Us

    Random Posts

    3/random/post-list

    Privacy policy

    https://policies.google.com/privacy?hl=en

    Subscribe Us

    Most Popular

    October 20, 2023

    form

    Form

    Form











    UBINADAMU KAZI

    Made with education and dis abled children

    UkTemplate is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable
    Design by - Free Blogger Templates | Distributed by Free Blogger Templates
    • Home
    • About
    • Contact us
    • Privacy Policy
    • Whatssap

    Contact form

    Share to other apps
  • Facebook
  • Twitter
  • Whatsapp
  • Telegram
  • Pinterest
  • LinkedIn
  • Reddit
  • Tumblr
  • Email
  • Copy Post Link