Acha leo nitoe Siri kubwa katika maisha yangu.
Ndugu zangu niwaambie kitu? Mimi napenda Makombe kuliko Pesa na Wanawake, Yaan nikikaa karibu na Makombe nasikia raha kuliko hata kunikabidhi CRDB au NBC iwe mali yangu binafsi.
Naona raha kuliko kuwa na Beyonce au Rubi Ghetto, kwangu Makombe ndio furaha yangu kuu.
Imagine ningekuwa bado Kwa Makolo si ningekuwa nishakufa mimi Bugati!! Miaka miwili bila kombe? Ningekuwa Marehemu bila sababu!!
Asante Mungu kuendelea kuniweka Sehemu nnayopata harufu na kuyagusa Makombe.
123