-->
UBINADAMU KAZI
  • Home
  • _Contact us
  • _About us
  • New song 2023
  • _New song 2023
  • Videos
  • _Music
  • Form
  • _forms
  • Matangazo
  • _Matangazo
  • _DON BOSCO
  • PDF
  • _HTML PDF
  • _form
Home SIMULIZI ARASS (MFALME WA MOYO)10

ARASS (MFALME WA MOYO)10

Author - personABY
October 11, 2023
0
share


MTUNZI SMILE SHINE

WHATSAPP:0629602255

Mama arass akimchungulia Tena huku akitabasamu 
" Maskini mama Ni mama ona Naima alivyotulia kwenye mikono ya mama yake .

Mama arass aliamua kuingia mule chumbani Ray alipomuona alishituka .
" hapana mwanangu usiwe na wasiwasi Wala usishituke.
" Nisamehe mama nilisikia mtoto analia ndio maana nikaingia kumbembeleza .
" Nikusamehe kwa kosa gani unajua Mimi Ni mama alafu kila mama anahisia kwa mwanae najua hisia ndio zimenifanya uje kwa mwanao pia kwa upande wangu nimefurahi Sana kukuona mama Naimaunajua nilichokuwa nataka Mimi Ni wewe na mzazi mwenzio Amir muishi pamoja mlee mtoto wenu.
" Lakini mama ....
" Sitaki kusikia cha lakini namjua vizuri mwanangu hataki kuowa Sasa wewe ndio utakuwa mke wake hata Kama alikupa mimba kwa bahati mbaya atakuowa nitahakikisha nakupigania uishi maisha mazuri kwenye ndoa yako.  Ray aliwaza kwa akili take fupi akaona hiyo ndio njia rahisi yakumpata Arass akajikuta anaropoka 
" Kweli mama utanisaidia maana Amir Ni msumbufu Sana 
" Mwanangu namjua Yule leo mnaenda wote na mtoto wenu 
" Nitashukuru Sana mama yangu .
" Tena nisubiri nakuja ."

Mama arass alipotoka  Ray alikuwa anachekelea 
" Jamani mbona Kama Mambo yanaenda kirahisi hivi sijatumia hata nguvu nyingi. Sasa huyu amir akija hapa nitajibu Nini  mmmh mbona Mimi nakurupukaga sifikirii madhara  yatakayokuja kutokea alinyanyuka pale kitandani akamlaza mtoto alipotaka kutoka mtoto alianza kulia 
" Wewe mtoto nyamaza Basi . Mtoto alikazana kulia huku akimuangalia alimuonea huruma akarudi kumchukua  Mara arass na mama yake walifika .
" Amir mwanangu  leo imekuwa siku yenye baraka Sana hatimae mama yake Naima amekuja mwenyewe. Arass alishangaa inakuwaje mama Naima awe Ray 
" Mama Nani kakwambia huyu ndio mama Naima?
" Wewe usinifanyie mjinga  Mimi Ni metangulia kukuona jua kabla yako hisia alizokuwanazo huyu binti kwa Naima zimeniaminisha kuwa Ni mwanae kwanza huoni mtoto alivyotulia mikononi kwa mama yake.
" Wewe Ray umemwambia Nini  mama?
" Akaa sijamwambia kitu . Arass alikuwa mkali  alimsogelea Ray  , Ray akajifocha nyuma ya mama Arass 
" Mama unamuona mwanao alivyokuwa mkorofi  mzuie.
" Hakufanyi chochote mbele yangu na hata ukiwa kwake hata kufanya chochote Tena leo ubebe mkeo na mwanao muondoke 
" Mama nisikilize kwanza 
" Sitaki kukupa nafasi nakujua vizuri Amir . Mama Arass alimgeukia Ray na kumuuliza 
" Unaitwa Nani vile?
" Raysam.
" Vizuri raysam nakuletea nguo za mwanao  Leo mnaenda na huyo baba yenu sawa.
" Sawa. 
 Amir alipiga teke   mlango Kisha akatoka kwa hasira .
" Mama Sasa mbona anahasira hivyyo  tukienda nae so atatuumiza 
" Hana jeuri hiyo Leo mnaenda kwenu na alijifanya chochote niambie 
" Sawa mama .

Amir alienda kwa Ayubu 
" Vipi bro Kuna tatizo?
" Ni zaidi ya tatizo huyu mtu wako sijui kamwambia Nini mama eti anasema yeye ndio mama Naima.
" Mtu wangu gani 
" Si kale kakivuruge kako
" Ray?
" Nani mwingine huyohuyo
" Mungu wangu imekuwaje tena?
" Sijui wamenivuriga akili yangu mama hasikii Wala haelewi.
" Hebu twende nikaongee nae
" Siwezi kwenda nenda kaongeze nao huko
Ayubu aliingia mpaka sebleni lakini hakuona mtu Mara akapida Dada wa kazi akamuuliza 
" Mama Yuko wapi?
" Yupo kule juu 
" Na Yule Dada aliekuwa anahudumia yupo wapi? 
" Yupo kwenye like chumba Cha kwanza . 
" Ok asante.  Kwakuwa Ayubu hakuwa mgeni kwenye Ile nyumba alienda moja kwa moja akamkuta Ray amekaa kitandani akiwa kampakata Naima .
" Wewe Ray umefanya Nini?  Ayubu aliuliza huku akiwa kakunja uso Ray akaogopa 
" Sijamfanya kitu boss 
" Haya muweke huyo mtoto hapo kitandani uondoke hapa haraka .  Ray alimuweka mtoto kitandani , alipomuweka tu mtoto akaanza kulia
" Ona mtoto analia 
" Haya kuhusu toka haraka .kabla hajanyanyua mguu mama arass alifika  na kuuliza
" Aondoke aende wapi? Ayubu aligeuka kumuangalia mama Arass.
" Mama lakini huyu sio mama wa mtoto.....
"Ayubu nilijua wewe Ni mshauri mzuri kwa mwenzio kumbe ndio kwanza mnajazana ujinga  mnakimbilia miaka 40 hata kuowa hamjaowa mnakazi ya kushauriana upumbavu, Sasa Kama kakutuma uje umtetee Mimi sitakusikiliza huyu binti ataenda kuishinae walee mtoto huyu. Binti mchukue mwanao  umbembeleze. Ray alimchukua mtoto huku akimuangalia Ayubu kwa uwoga .
Ayubu hakuwa na jinsi ilibidi atoke na kumfuata  arass, alimkuta arass kajiinamia 
" Aisee sijui itakuwaje mama hataki kusikia chochote
" Sasa tunafanyaje  unajua Yule mtoto amenikosea Sana kwanza kwanini aseme  yeye ndio mama wa mwanangu kwanini adanganye?
" Sijui hata nikujibu Nini Ila naona tutafute njia tumuache mtoto kwa mama kesho tutakuja kumuelewesha vizuri.
" Sidhani Kama atakubali  kasha muamini Yule mtoto wa kike .
" Daaa Basi nenda nae tu kwako . Arass alimuangalia Ayubu kwa makini na kumuuliza 
" Alafu nikishaendanae ? 

Walikaa wakatafakari Nini wafanye. Na muda ulizidi kwenda watu wakatawanyika . Mama arass aliwafuata pale walipokuwa wamekaa 
" Nyie usiku unazidi kwenda  hebu nendeni msitake kumtembeza mjukuu wangu usiku 
" Sawa mama wataenda muda sio mrefu. Ayubu alijibu  mama arass alirudi ndani 
" Amir acha Mimi na Melissa turudishe viombo mgahawani  wewe na Ray nendeni nyumbani kwako  nikitoka mgahawani nitakuja .
" Ayubu lakini unajua Yule Ni binti wa watu anatakiwa kurudi kwao . Ayubu alishusha pumzi 
"Mmmh wewe nenda nae nikija tutaongea vizuri   arass alienda ndani akamchukua Ray na mwanae walipofika alipopark gari Ray aligoma kupanda 
" Sasa unashangaa Nini panda twende 
" Kwani tunaenda wapi? Alafu boss na Melissa mbona siwaoni?
" Wameondoka 
" Sasa mbona wameniacha Mimi nitarudije nyumbani . Arass alishikwa na hasira alimsogelea 
" Wewe usiujaribu uvumilivu wangu nitakunasa vibao akilibikukae sawa wewe si umemwambia mama  umezaa na Mimi  twende Sasa tukaishi wote .
" Sasa naendaje kwako nyumbani watanitafuta alafu mama yako alikazania kusema Mimi Ni mama wa huyu mtoto  nimemwambia sio yeye hanielewi Sasa Mimi ningefanyeje?

Arass alipoona maneno mengi alimlazimisha akapanda wakaondoka, njia nzima Ray alikuwa analalamika ataenda kufokewa kwao. 
Melissa na Ayubu walipofika mgahawani walimkuta Farida  wakasaidiana  kushusha vyombo  Farida akamuuliza Melissa
" Mbona simuoni raysam Yuko wapi?
" Mmmh Ni story ndefu  nimeamini mdogo wako kichwa maji .... Kabla hajamaliza kuongea Farida aliuliza 
" Kafanya Nini tena ? Kabla Melissa hajaendelea Ayubu alifika na kumuita Farida  Kisha akamwambia 
" Farida nenda nyumbani  badae nitakuja nyumbani kwenu nikiwa na Ray.
" Boss kwani Ray Yuko wapi na kafanya nini?
" Punguza presha yupo kwa Amir amenisaidia kumbebea mtoto acha niende tutaongea nikija kwenu. Ayubu aliondoka na kumuacha Farida kazubaa , Melissa alimfuata 
" Mdogo wako amezusha kazaa na Amir hivyo kapewa mtoto akalee na hivi nibavyokwambia kaenda kwa amir kuishi  
" Khaaaa hivi Ray ana akili kweli kwanza haoni aibu
" Ndio hivyo kajiozesha bila mahali Wala makubaliano na mume  hahaha Ray kiboko.
Tags
SIMULIZI
  • Facebook
  • Twitter
  • Whatsapp
  • Newer

  • Older

ABY

ABY

kuanzia sifuri ni kama kuanzia msingi na ni njia bora ya kuanza kitu

    You may like these posts

    Show more

    Post a Comment

    0Comments

    123

    Post a Comment (0)

    Adsense

    HEAD

    UBINADAMU KAZI

    chat on whatssap

    social media

    Start scrolling the page and a strong "Back to top" button will appear in the bottom right corner of the screen.

    Click this button and you will be taken to the top of the page.

    Social Plugin

    • facebook
    • whatsapp
    • instagram
    • youtube
    • Twiter

    Popular Posts

    BENNY SHIZOL-SIPO HURU MP3 Audio
    new song 2023

    BENNY SHIZOL-SIPO HURU MP3 Audio

    ABY ABY August 30, 2023
    Music

    Music

    May 04, 2023
    KIKOSI CHA YA CHA SIKU YA KWANZA
    MICHEZO

    KIKOSI CHA YA CHA SIKU YA KWANZA

    June 03, 2023
    How to add Google Forms to your website
    Google Forms to your website

    How to add Google Forms to your website

    October 11, 2023

    Comments

    4/comments/show

    Labels

    • "3
    • "ADVERTISEMENT2
    • ADVERTISEMENT2
    • BONGO FLEVA10
    • BURUDANI5
    • CHUO CHA UFUNDI MATANGAZO1
    • code za link ya kudownload1
    • DESICN1
    • Document Object Model1
    • EDUCATION1
    • Event5
    • Features and Examples1
    • Film4
    • FORM2
    • forms1
    • Google Forms1
    • Google Forms to your website1
    • HA tunnel free internet and settings1
    • HABARI22
    • HISTORIA4
    • How TO - More Button in Navbar1
    • How TO - Read More Read Less Button1
    • How To Make Signup Page Using HTML And CSS | Create ...1
    • html4
    • ICT1
    • Instrumental1
    • Java script object1
    • JavaScript Classes1
    • JavaScript Form Validation1
    • LISHE2
    • LOGO2
    • MAFUNZO1
    • MICHEZO24
    • MISEMO7
    • MUSIC7
    • NEW SONG2
    • new song 20233
    • PDF4
    • POSTER DESIGN1
    • SIMULIZI3
    • story1
    • TANGAZO4
    • TRAINING1
    • Web Browser – Definition1
    UBINADAMU KAZI
    Powered by Blogger
    https://policies.google.com/privacy?hl=en

    Chat on WhatsApp

    https://wa.me/0629602255

    Report Abuse

    Search This Blog

    POST ARCHIVE

    • 2023146
    • 202410

    Facebook

    UBINADAMU KAZI

    • UBINADAMU KAZI
      -

    Random Posts

    3/random/post-list
    • Home
    • About
    • Contact
    • Home
    • Features
    • _Multi DropDown
    • __DropDown 1
    • __DropDown 2
    • __DropDown 3
    • _ShortCodes
    • _SiteMap
    • _Error Page
    • Mega Menu
    • Documentation
    • _Web Doc
    • _Video Doc

    Footer Menu Widget

    • Home
    • About
    • Contact Us

    Text

    Inatoa matangazo yanafasi za masomo kama vile computer,tailor, cooker, Rehabilitation, education, football and e.t.c

    Contact form

    Name

    Email *

    Message *

    Followers

    Tags

    • "
    • "ADVERTISEMENT
    • ADVERTISEMENT
    • BONGO FLEVA
    • BURUDANI
    • CHUO CHA UFUNDI MATANGAZO
    • code za link ya kudownload
    • DESICN
    • Document Object Model
    • EDUCATION
    • Event
    • Features and Examples
    • Film
    • FORM
    • forms
    • Google Forms
    • Google Forms to your website
    • HA tunnel free internet and settings
    • HABARI
    • HISTORIA
    • How TO - More Button in Navbar
    • How TO - Read More Read Less Button
    • How To Make Signup Page Using HTML And CSS | Create ...
    • html
    • ICT
    • Instrumental
    • Java script object
    • JavaScript Classes
    • JavaScript Form Validation
    • LISHE
    • LOGO
    • MAFUNZO
    • MICHEZO
    • MISEMO
    • MUSIC
    • NEW SONG
    • new song 2023
    • PDF
    • POSTER DESIGN
    • SIMULIZI
    • story
    • TANGAZO
    • TRAINING
    • Web Browser – Definition

    About Us

    About Us
    FACEBOOK ubina damu kazi

    Categories

    • " (3)
    • "ADVERTISEMENT (2)
    • ADVERTISEMENT (2)
    • BONGO FLEVA (10)
    • BURUDANI (5)
    • CHUO CHA UFUNDI MATANGAZO (1)
    • code za link ya kudownload (1)
    • DESICN (1)
    • Document Object Model (1)
    • EDUCATION (1)
    • Event (5)
    • Features and Examples (1)
    • Film (4)
    • FORM (2)
    • forms (1)
    • Google Forms (1)
    • Google Forms to your website (1)
    • HA tunnel free internet and settings (1)
    • HABARI (22)
    • HISTORIA (4)
    • How TO - More Button in Navbar (1)
    • How TO - Read More Read Less Button (1)
    • How To Make Signup Page Using HTML And CSS | Create ... (1)
    • html (4)
    • ICT (1)
    • Instrumental (1)
    • Java script object (1)
    • JavaScript Classes (1)
    • JavaScript Form Validation (1)
    • LISHE (2)
    • LOGO (2)
    • MAFUNZO (1)
    • MICHEZO (24)
    • MISEMO (7)
    • MUSIC (7)
    • NEW SONG (2)
    • new song 2023 (3)
    • PDF (4)
    • POSTER DESIGN (1)
    • SIMULIZI (3)
    • story (1)
    • TANGAZO (4)
    • TRAINING (1)
    • Web Browser – Definition (1)

    Translate

    {ads}

    Responsive Advertisement

    Subscribe Us

    Footer Menu Widget

    • Home
    • About
    • Contact Us

    Random Posts

    3/random/post-list

    Privacy policy

    https://policies.google.com/privacy?hl=en

    Subscribe Us

    Most Popular

    October 20, 2023

    form

    Form

    Form











    UBINADAMU KAZI

    Made with education and dis abled children

    UkTemplate is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable
    Design by - Free Blogger Templates | Distributed by Free Blogger Templates
    • Home
    • About
    • Contact us
    • Privacy Policy
    • Whatssap

    Contact form

    Share to other apps
  • Facebook
  • Twitter
  • Whatsapp
  • Telegram
  • Pinterest
  • LinkedIn
  • Reddit
  • Tumblr
  • Email
  • Copy Post Link