Nilitoka Moro na kwenda Dar kwa mpenzi wangu ili nkajitambulishe kwa wazazi wake,🤗
Nafika kituo cha daladala zinapoishia naambiwa nichukue Boda...basi kwakua nipo smart na sina haraka nilimfata boda wa makamu kidogo aliopo kituoni anipeleke huko niendapo Kwa unyenyekevu yule boda alinipakia na kuniuliza niendapo...basi kwakua nilishaambiwa napotakiwa kwenda nilimtajia hiyo sehemu huyo Boda wa makamu nae akawasha chombo na kuniambia "lete mfuko niupakatie mbele" Ambao ni mfuko nilokua nimeweka vizawadi vya kupeleka ukweni😋..
Basi nilimkabidhi na safari iliaanza....2kiwa njiani yule boda alinidadis kwa kuniuliza naenda kusalimia ndugu zangu?
Nilimjibu "hapana naenda ukweni kuwaona wazazi wa mpenzi wangu",
Yule boda alitabasamu kisha akasema inaonyesha unampenda sana🤗..
Nikakurupuka na kuropoka kua... "Nimpende sana wapi mzee wangu...basi tu huyo mwanamke ananishobokea lakini sina mpango nae😄",
Boda alicheka kisha akaniuliza kimasihara..."ushakula mzigo lakini?"
nikajibu kwa kujiamini "ningekula mzigo nisingeteseka hivi mzee wangu...na nikimla tu napita na hamsini zangu"😂... Basi mzee alicheka na mimi nikacheka 2kajikuta 2mecheka kwa pamoja😄...kisha Boda alikazia kwa kusema nimemkumbusha Enzi zake.
2kiwa 2naendelea na safari simu ya yule Boda iliita ikiwa mfuko wa kulia wa suruali..kwakua yule Boda alikua kaukumbatia mzigo na road ni mbovu mbovu..
Akaniomba nimsaidie kuitoa na kuipokea kisha nimuweke loudspeaker huku akijiinua ili nipate nafasi ya kuitoa simu..
Basi nilifanikiwa kuitoa lakini kuitizama kwenye kioo jina limeandikwa Zakia...jina ambalo pia mpenzi wangu alikua akiitwa hivyo, ila kwakua majina hua yanafanana..
Nilipokea na kuweka loudspeaker.."Hallo Baba" iliskika sauti kama ya mpenzi wangu kwenye simu ya yule mzee.😂
"Naam Mwanangu" yule Mzee alijibu lakini nilikausha bila kutia neno😄.
"Baba yule mchumba wangu yu njiani.. usichelewe kurud" iliskika sauti kama ya mpenzi wang tena...
Nikasema hapana na kugeuza simu ile kutizama namba ya mtoto wa huyo mzee ..."OMG"😱 nilishtuka baada ya kugundua namba ya mtoto wa huyo mzee ni ya yule mpenzi wangu😂😂.
Nilijikuta nakata simu kwa wenge 😂 Mzee akauliza "amekata" nikadanganya na kumjibu "ndio" kisha nikamuuliza.. "Nimpigie?",
Mzee akasema "hapana hata hivyo sehemu unaposhuka ni hapo wacha nikuache niwahi kurudi kituoni kuna mgeni nikamsubiri" kisha akasimama na kunikabidhi mzigo wangu...chap chap nikampa pesa yake kisha mzee akawasha chuma na kurudi kituoni.🤗
*Ivi ingekua ni wewe umegundua uliongea ujinga kwa Baba wa mpenzi wako je! ungeendelea kwenda ukweni au ungegeuza?😂😂
Kwa upande wangu wazo la kugeuza lilinijia akilini lakini nikifikiria gharama nilizotumia kwenye usafiri kutoka Moro mpaka Dar+mizawadi hapo najikuta... Nanyong'onyea na kukosa hata nguvu ya kugeuza na kurud nilipotoka..nikiwa nimekaa nisijue nini cha kufanya kwenye kugeuza geuza macho Niliona Gesti...na hapo akili mpya ikanijia 😄,
Unajua akili gani? Tulia ✋,..
Nilienda mpaka kwenye hiyo nyumba ya wageni (Gesti) ... Na kuchukua chumba kwa 12000 tu cha Usiku mmoja.. Sahio ilikua ni majira ya saa 11 jioni.
Baada ya kupata Room nikampigia Zakia 😄..ile kupokea Tu akauliza "Babe uko wapi" nikamtajia jina la Gesti niliyopo..akashangaa na kusema "mbona hiyo ipo karibu na nyumbani si usingepanga... Chumba tu na ungekuja Home"...nikamuambia sikujua kisha nikatumia nafasi ile kumwambia "basi njoo unifate maana nina ka mzigo".."sawa" Zakia alijibu na kukata simu hapo nikashangalia sana😂😂
Nikamtumia namba ya chumba kupitia Sms kisha nikaanza kupanga mikakati ya mashambuliz.. Ikanijia akili moja..nilitoa nguo kweny begi langu ambazo nilibeba kama Akiba ambazo zilikua ni Suruali mbili na mashati mawili kosha nikaziweka chini ya godoro la Gesti😄 alafu nikazivua zile nilizokua nimevaa chap chap na kubakiwa na Boxer kisha nikaingia bafuni na kuzilowesha Baada ya hapo nikazikamua na kuzianika huko huko bafuni😂.
Kwakua begi lilibaki Tupu nikaweka yale mazaga nilobeba yote kwenye begi ili kulwepa swali kwa Zakia la "mbona umekuja na begi Tupu😄"
Baada ya kuseti mipango nikatulia zangu nikimsubiri Zakia sasa... Subira huvuta kheri niliskia Mlango ukigongwa..nilipo enda kuchungulia alikua ni Zakia🤗 basi nikaufungua kidogo na kumwambia ingia huku nimejibanza nyuma ya mlango...alipoingia tu nikaufunga😂 Alishtuka kuniona nimefunga mlango na niko na Boxer Tu😂🙌,
"Mbo..mbo..mbona uko hivyo.. Zakia aliuliza huku akiwa anakigugumizi.
Dah Sorry my Dear nguo zangu zimeloa nilisema na kuingia bafuni kumtolea zile nguo nilizo loanisha.😂
"Ilikuaje" Zakia aliuliza
"Ntakupa story nikija huko we chukua hii hela ununue mfuko kisha uweke haya mazaga" Nilimjibu nikijidai sina.. Time na ngono tena nikimuharakisha aondoke.
"Hata sijakaa unaniharakisha kama nakimbizwa" Zakia alisema na kuangalia pembeni kuonyesha Amesusa😄.
Bila kujua hiyo ndo ile point nilokua nikiisubiri😂😂.
Nilijisogeza karibu na kumshika mkono kisha nikamgeuza uso wake na kumwambia.. "Sio hivyo My love...c unajua nakupenda" nilisema😋
Zakia alitikisa kichwa kuashiria analijua hilo kisha nikasogeza uso wangu na kumkiss na hapo ndipo zakia nae akacharuka😂 kumbe nae alikua na ngunga buanaaa...nilishtukia nipo chini ye yupo juu alaf anatoa nguo zake.……Shuka Kwenye Comment
123