Hata Kama tumepoteza fanali kwa sheria ya goli la ugenini bado haitoi sifa kwa Young Africans Sports Club  kuwa ni timu bora kwa Sasa Africa msimu huu 2022-2023.
Tumeshinda Kwenye ardhi ya 𝗧𝗨𝗡𝗜𝗦𝗜𝗔 🇹🇷
Tumeshinda Kwenye ardhi ya DRC 𝗖𝗢𝗡𝗚𝗢 🇨🇩
Tumeshinda Kwenye ardhi ya Afrika 𝗞𝗨𝗦𝗜𝗡𝗜🇿🇦
Tumeshinda Kwenye ardhi ya 𝗡𝗜𝗚𝗘𝗥𝗜𝗔 🇳🇬 
Tumeshinda Kwenye ardhi ya  𝗔𝗟𝗚𝗘𝗥𝗜𝗔🇩🇿 
Sis ndio Yanga mabingwa wa nchi 🔥🔥
#MabingwaWaNchi #sisindioyanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko  🟢🟡
Follow Sumabdullah Tz kwa breaking news zote za Yan


 
123