-->
UBINADAMU KAZI
  • Home
  • _Contact us
  • _About us
  • New song 2023
  • _New song 2023
  • Videos
  • _Music
  • Form
  • _forms
  • Matangazo
  • _Matangazo
  • _DON BOSCO
  • PDF
  • _HTML PDF
  • _form
Home MICHEZO Rais Samia yuko sahihi a nacho kifanya

Rais Samia yuko sahihi a nacho kifanya

Author - personABY
June 06, 2023
0
share
Mimi binafsi nichukue muda huu kwa kusema kuwa Anachokifanya rais wetu si sawa anatukosea sana watanzania mama alikuwa akinunua magoli ya Simba na yanga kimataifa akidai kwamba anawapa motisha . Pesa aliyotoa hapo kwenye vilabu viwili hivyo ni pesa nyingi sana hali ya kuwa hiyo pesa ni ya wananchi wa Tanzania.
Mama akatoa ndege iwapeleke yanga hali ya kuwa zote hizo ni mali za watanzania.

       Asaivi amewapa yanga ndege itakayo wapeleka kwenye michezo miwili ya ligi kuu NBC zote hizo ni pesa za wananchi.

       Mm binafsi naona hiki ni kinyume kinachofanyika nchi hii ina deni kubwa mno na mama amekopa deni lingine wananchi tunatozwa kodi mpaka muuza mchicha pia anatozwa kodi, Bidhaa zimepanda bei, Wananchi tunapata tabu mno lakini mama yeye kwa sababu hana shida yoyote anapokea mshahara mwisho wa mwezi haoni kuwa kuna wananchi wanalala na njaa, wanahangaika njaa kwa nini hizo pesa anazowapa wasiokua watanzania asiwape watanzania. 
    
       Binafsi naumia sana kama haki zetu wanapewa wakina chama Aziz ki na wengineo ambao wameajiriwa na taasisi husika na wanapata masilahi yao sisi watanzania wengi hatukuajiriwa tunaishi maisha magumu halafu haki zetu wanapewa watu wenye uwezo.

      Ujumbe huu naomba mama ukufikie mm kama mtanzania napata tabu mno moyoni mwangu na wengi wanalalamika lakini hawana pa kupeleka kero hizo.

        Tunaomba mama ulinde haki zetu sisi kama watanzania na pia hiyo ni dhamana Mwenyezi Mungu amekupa atakuja kukuuliza siku ya qiyama sasa wewe fanya unavyotaka kwa sababu ya cheo chako lakini ipo siku usipo jirekebisha ufalme wako utakuja kukuangamiza tu.



Tags
MICHEZO
  • Facebook
  • Twitter
  • Whatsapp
  • Newer

  • Older

ABY

ABY

kuanzia sifuri ni kama kuanzia msingi na ni njia bora ya kuanza kitu

    You may like these posts

    Show more

    Post a Comment

    0Comments

    123

    Post a Comment (0)

    Adsense

    HEAD

    UBINADAMU KAZI

    chat on whatssap

    social media

    Start scrolling the page and a strong "Back to top" button will appear in the bottom right corner of the screen.

    Click this button and you will be taken to the top of the page.

    Social Plugin

    • facebook
    • whatsapp
    • instagram
    • youtube
    • Twiter

    Popular Posts

    BENNY SHIZOL-SIPO HURU MP3 Audio
    new song 2023

    BENNY SHIZOL-SIPO HURU MP3 Audio

    ABY ABY August 30, 2023
    Music

    Music

    May 04, 2023
    KIKOSI CHA YA CHA SIKU YA KWANZA
    MICHEZO

    KIKOSI CHA YA CHA SIKU YA KWANZA

    June 03, 2023
    How to add Google Forms to your website
    Google Forms to your website

    How to add Google Forms to your website

    October 11, 2023

    Comments

    4/comments/show

    Labels

    • "3
    • "ADVERTISEMENT2
    • ADVERTISEMENT2
    • BONGO FLEVA10
    • BURUDANI5
    • CHUO CHA UFUNDI MATANGAZO1
    • code za link ya kudownload1
    • DESICN1
    • Document Object Model1
    • EDUCATION1
    • Event5
    • Features and Examples1
    • Film4
    • FORM2
    • forms1
    • Google Forms1
    • Google Forms to your website1
    • HA tunnel free internet and settings1
    • HABARI22
    • HISTORIA4
    • How TO - More Button in Navbar1
    • How TO - Read More Read Less Button1
    • How To Make Signup Page Using HTML And CSS | Create ...1
    • html4
    • ICT1
    • Instrumental1
    • Java script object1
    • JavaScript Classes1
    • JavaScript Form Validation1
    • LISHE2
    • LOGO2
    • MAFUNZO1
    • MICHEZO24
    • MISEMO7
    • MUSIC7
    • NEW SONG2
    • new song 20233
    • PDF4
    • POSTER DESIGN1
    • SIMULIZI3
    • story1
    • TANGAZO4
    • TRAINING1
    • Web Browser – Definition1
    UBINADAMU KAZI
    Powered by Blogger
    https://policies.google.com/privacy?hl=en

    Chat on WhatsApp

    https://wa.me/0629602255

    Report Abuse

    Search This Blog

    POST ARCHIVE

    • 2023146
    • 202410

    Facebook

    UBINADAMU KAZI

    • UBINADAMU KAZI
      -

    Random Posts

    3/random/post-list
    • Home
    • About
    • Contact
    • Home
    • Features
    • _Multi DropDown
    • __DropDown 1
    • __DropDown 2
    • __DropDown 3
    • _ShortCodes
    • _SiteMap
    • _Error Page
    • Mega Menu
    • Documentation
    • _Web Doc
    • _Video Doc

    Footer Menu Widget

    • Home
    • About
    • Contact Us

    Text

    Inatoa matangazo yanafasi za masomo kama vile computer,tailor, cooker, Rehabilitation, education, football and e.t.c

    Contact form

    Name

    Email *

    Message *

    Followers

    Tags

    • "
    • "ADVERTISEMENT
    • ADVERTISEMENT
    • BONGO FLEVA
    • BURUDANI
    • CHUO CHA UFUNDI MATANGAZO
    • code za link ya kudownload
    • DESICN
    • Document Object Model
    • EDUCATION
    • Event
    • Features and Examples
    • Film
    • FORM
    • forms
    • Google Forms
    • Google Forms to your website
    • HA tunnel free internet and settings
    • HABARI
    • HISTORIA
    • How TO - More Button in Navbar
    • How TO - Read More Read Less Button
    • How To Make Signup Page Using HTML And CSS | Create ...
    • html
    • ICT
    • Instrumental
    • Java script object
    • JavaScript Classes
    • JavaScript Form Validation
    • LISHE
    • LOGO
    • MAFUNZO
    • MICHEZO
    • MISEMO
    • MUSIC
    • NEW SONG
    • new song 2023
    • PDF
    • POSTER DESIGN
    • SIMULIZI
    • story
    • TANGAZO
    • TRAINING
    • Web Browser – Definition

    About Us

    About Us
    FACEBOOK ubina damu kazi

    Categories

    • " (3)
    • "ADVERTISEMENT (2)
    • ADVERTISEMENT (2)
    • BONGO FLEVA (10)
    • BURUDANI (5)
    • CHUO CHA UFUNDI MATANGAZO (1)
    • code za link ya kudownload (1)
    • DESICN (1)
    • Document Object Model (1)
    • EDUCATION (1)
    • Event (5)
    • Features and Examples (1)
    • Film (4)
    • FORM (2)
    • forms (1)
    • Google Forms (1)
    • Google Forms to your website (1)
    • HA tunnel free internet and settings (1)
    • HABARI (22)
    • HISTORIA (4)
    • How TO - More Button in Navbar (1)
    • How TO - Read More Read Less Button (1)
    • How To Make Signup Page Using HTML And CSS | Create ... (1)
    • html (4)
    • ICT (1)
    • Instrumental (1)
    • Java script object (1)
    • JavaScript Classes (1)
    • JavaScript Form Validation (1)
    • LISHE (2)
    • LOGO (2)
    • MAFUNZO (1)
    • MICHEZO (24)
    • MISEMO (7)
    • MUSIC (7)
    • NEW SONG (2)
    • new song 2023 (3)
    • PDF (4)
    • POSTER DESIGN (1)
    • SIMULIZI (3)
    • story (1)
    • TANGAZO (4)
    • TRAINING (1)
    • Web Browser – Definition (1)

    Translate

    {ads}

    Responsive Advertisement

    Subscribe Us

    Footer Menu Widget

    • Home
    • About
    • Contact Us

    Random Posts

    3/random/post-list

    Privacy policy

    https://policies.google.com/privacy?hl=en

    Subscribe Us

    Most Popular

    October 20, 2023

    form

    Form

    Form











    UBINADAMU KAZI

    Made with education and dis abled children

    UkTemplate is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable
    Design by - Free Blogger Templates | Distributed by Free Blogger Templates
    • Home
    • About
    • Contact us
    • Privacy Policy
    • Whatssap

    Contact form

    Share to other apps
  • Facebook
  • Twitter
  • Whatsapp
  • Telegram
  • Pinterest
  • LinkedIn
  • Reddit
  • Tumblr
  • Email
  • Copy Post Link