-->
UBINADAMU KAZI
  • Home
  • _Contact us
  • _About us
  • New song 2023
  • _New song 2023
  • Videos
  • _Music
  • Form
  • _forms
  • Matangazo
  • _Matangazo
  • _DON BOSCO
  • PDF
  • _HTML PDF
  • _form
Home MICHEZO 📝𝗞𝗪𝗔𝗞𝗢 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗘𝗡𝗚 𝗛𝗘𝗥𝗦𝗜 𝗔𝗟𝗟𝗬 𝗦𝗔𝗜𝗗

📝𝗞𝗪𝗔𝗞𝗢 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗘𝗡𝗚 𝗛𝗘𝗥𝗦𝗜 𝗔𝗟𝗟𝗬 𝗦𝗔𝗜𝗗

Author - personABY
June 06, 2023
0
share
 Poleni sana Wananchi,, Kwanza kabisa Napenda kuchukua nafasi hii nikiwa Kama mwanachama wa Yanga na mwanaharakati wa Yanga kukupongeza wewe Rais Eng Hersi Said,,makamu rais Arafat Haji na jopo lako lote la Uongozi kwa kazi nzuri ambayo mmeifanya kuipigania Yanga sc kuwa sehemu salama.🤝

Wamepita Viongozi wengi Yanga sc ambao walifanya vizuri kuipigania bendera ya Yanga Ila kwenye Uongozi wao lakini bado hawajafika kile ambacho wewe umekifanya hadi sasa,Hakuna Mwanayanga yoyote yule ambaye anakudai kwa hiki ambacho umewafanyia.Bravo Mr President 💚💛

Moyo wako,ujasiri wako,misimamo yako,nguvu zako,mapenzi yako ya dhati kabisa kwa Yanga sc ndio yameifanya Yanga kuwa hapa tulipo kwa sasa ni maajabu Sana kwa muda mfupi tu ndani ya Uongozi wako Kama rais wa klabu Yanga leo hii imeshika nafasi ya 9 Kutoka nafasi ya 75 katika viwango bora vya Caf hakika unastahili pongezi kubwa sana rais Eng Hersi Ally Said.

Rais Eng Hersi Said usife moyo wala usijione mnyonge kwa sasa,Kwani Wananchi bado tuna furaha ndani ya mioyo yetu kwa kuvimba,kutamba mitaani kwa kujita HERO'S hatujapoteza malengo yetu Kama Yanga ambayo tulijiwekea msimu huu 2022-2023,Bado tupo Kwenye malengo yetu ubingwa tumetetea,

Ngao tumetetea,,Asfc tupo Fainali na inshallah kwa mapenzi yake Mungu tutatea tena kombe hili,,Malengo yetu kimataifa yalikuwa kucheza Makundi Klabu bingwa msimu huu Ila haikuwa bahati kwetu,tukadondokea shirikisho na malengo yetu yakikuwa robo Fainali Ila tumevuka malengo tumecheza Fainali na tumeshika nafasi ya pili well done🤝 Yanga sc.

Dunia imeona na Afrika imetutambua Yanga sc ni nani kwa sasa,tumejiheshimisha vyema ndani ya ardhi za watu Kama Tunisia, Nigeria, Algeria,,Drc Congo,, South Africa kwa kupata mashabiki na wanachama wapya kufikia malengo yetu kwenye TRANSFORMATION yetu 💪.Huu sasae ndio muda wa kwenda mezani kukaa na Maalimu Nabi na jopo lake la ufundi kupanga mipango kabambe kuelekea msimu ujao.Wanayanga wote bado Wana Imani na kocha wao Professor Nabi kuwa bado tuna nafasi ya kuishangaza Afrika na dunia kuwa mabingwa kwa siku zijazo let's go Wananchi.

Leo hii Tanzania kila mchambuzi nchini Tanzania ,,watu wenye husda na Yanga wanakuchukia Rais Eng Hersi kwasababu tu ya misimamo yako juu ya taasisi ambayo unaiongoza kufanya kazi nzuri,,usivunjike moyo hata kidogo Wananchi wapo na wewe bega kwa bega 💪. Wananchi hawapo tayari kuona kiongozi wao unarudi nyuma kwa sasa zaidi ya kukupa nguvu uendelee mbele,Bado tunataraji mazuri na makubwa Kutoka kwako Kama rais wa Yanga kwa siku zijazo.Amka mtangulize Mungu mbele hakika Vita hii utaivuka salama.

Mwisho kabisa kwa kauli moja sisi Kama mashabiki na wanachama wote wa Yanga tunakuombea sana maisha marefu Mfadhili wetu Ghalib said Mohammed Mungu akupe nguvu na moyo huohuo wa kuipigania Yanga kwa nayakati zote,Bila wewe Yanga sc tungekuwa wapi kwa sasa umetoa mbali na umetushika mkono Gsm hongera sana mwananchi ambaye siku zote huwa upendi kushindwa Jambo lako.Na ikawe kheri kwa Yanga kutimiza Mabadiliko yao ili utusaidie kuwapa wawekezaji bora Kuja Young Africans Sports Club .

Hongereni wachezaji wote wa Yanga ambao mmevuja jasho kuipigania nembo ya Yanga sc Mungu awabariki sana,,Na hongera Kocha Nabi na benchi lako lote kwa kazi nzuri ambayo mmeifanya kuipigania Yanga.Hongera Ali kamwe,,Privaldihno,,Abdulazizi na Viongozi wote na mashabiki na wanachama wote wa Yanga ,,kwa kazi nzuri ambayo mnaifanya Yanga kuwa Timu Bora.Tuheshimu sana herefi hizi ukitaka kufanikiwa heshimu sana 👉 A,B,C,D,E.

A; Appearance (Leo hii Yanga sc imeshandika history kwenye vitabu vya CAF kimataifa na kitaifa bravo Wananchi 💪,)

B: Body Management's (Leo hii Yanga tuna Viongozi wazuri vijana ambao Wana maono mapana kwa malengo chanya ya klabu yetu kwa siku zijazo well done✓)

C; Confidence (Leo hii kila mwanayanga,, kiongozi,, Mchezaji,,benchi la ufundi anajiamini kwa jambo lolote✓)



D;Displine (Bravo Uongozi kwa ujumla kwa kusimamia nidhamu ndani ya taasisi kubwa ya Yanga sc,,Bravo Simon Patrick,,Bravo Nabi,Bravo Eng Hersi✓)

E:Eduction (Ni bahati kubwa sana kwa wanyanga kupata Viongozi wenye elimu ya utawala na mpira kwa malengo chanya ya klabu yetu pendwa nchini Tanzania Yanga sc)

Let's go wananchiiiiiiiiiiiiiiii 💪.My name is Abdullah sum news 

#timuyawananchi #daimambelenyumamwiko 🟡🟢
Tags
MICHEZO
  • Facebook
  • Twitter
  • Whatsapp
  • Newer

  • Older

ABY

ABY

kuanzia sifuri ni kama kuanzia msingi na ni njia bora ya kuanza kitu

    You may like these posts

    Show more

    Post a Comment

    0Comments

    123

    Post a Comment (0)

    Adsense

    HEAD

    UBINADAMU KAZI

    chat on whatssap

    social media

    Start scrolling the page and a strong "Back to top" button will appear in the bottom right corner of the screen.

    Click this button and you will be taken to the top of the page.

    Social Plugin

    • facebook
    • whatsapp
    • instagram
    • youtube
    • Twiter

    Popular Posts

    BENNY SHIZOL-SIPO HURU MP3 Audio
    new song 2023

    BENNY SHIZOL-SIPO HURU MP3 Audio

    ABY ABY August 30, 2023
    Music

    Music

    May 04, 2023
    KIKOSI CHA YA CHA SIKU YA KWANZA
    MICHEZO

    KIKOSI CHA YA CHA SIKU YA KWANZA

    June 03, 2023
    How to add Google Forms to your website
    Google Forms to your website

    How to add Google Forms to your website

    October 11, 2023

    Comments

    4/comments/show

    Labels

    • "3
    • "ADVERTISEMENT2
    • ADVERTISEMENT2
    • BONGO FLEVA10
    • BURUDANI5
    • CHUO CHA UFUNDI MATANGAZO1
    • code za link ya kudownload1
    • DESICN1
    • Document Object Model1
    • EDUCATION1
    • Event5
    • Features and Examples1
    • Film4
    • FORM2
    • forms1
    • Google Forms1
    • Google Forms to your website1
    • HA tunnel free internet and settings1
    • HABARI22
    • HISTORIA4
    • How TO - More Button in Navbar1
    • How TO - Read More Read Less Button1
    • How To Make Signup Page Using HTML And CSS | Create ...1
    • html4
    • ICT1
    • Instrumental1
    • Java script object1
    • JavaScript Classes1
    • JavaScript Form Validation1
    • LISHE2
    • LOGO2
    • MAFUNZO1
    • MICHEZO24
    • MISEMO7
    • MUSIC7
    • NEW SONG2
    • new song 20233
    • PDF4
    • POSTER DESIGN1
    • SIMULIZI3
    • story1
    • TANGAZO4
    • TRAINING1
    • Web Browser – Definition1
    UBINADAMU KAZI
    Powered by Blogger
    https://policies.google.com/privacy?hl=en

    Chat on WhatsApp

    https://wa.me/0629602255

    Report Abuse

    Search This Blog

    POST ARCHIVE

    • 2023146
    • 202410

    Facebook

    UBINADAMU KAZI

    • UBINADAMU KAZI
      -

    Random Posts

    3/random/post-list
    • Home
    • About
    • Contact
    • Home
    • Features
    • _Multi DropDown
    • __DropDown 1
    • __DropDown 2
    • __DropDown 3
    • _ShortCodes
    • _SiteMap
    • _Error Page
    • Mega Menu
    • Documentation
    • _Web Doc
    • _Video Doc

    Footer Menu Widget

    • Home
    • About
    • Contact Us

    Text

    Inatoa matangazo yanafasi za masomo kama vile computer,tailor, cooker, Rehabilitation, education, football and e.t.c

    Contact form

    Name

    Email *

    Message *

    Followers

    Tags

    • "
    • "ADVERTISEMENT
    • ADVERTISEMENT
    • BONGO FLEVA
    • BURUDANI
    • CHUO CHA UFUNDI MATANGAZO
    • code za link ya kudownload
    • DESICN
    • Document Object Model
    • EDUCATION
    • Event
    • Features and Examples
    • Film
    • FORM
    • forms
    • Google Forms
    • Google Forms to your website
    • HA tunnel free internet and settings
    • HABARI
    • HISTORIA
    • How TO - More Button in Navbar
    • How TO - Read More Read Less Button
    • How To Make Signup Page Using HTML And CSS | Create ...
    • html
    • ICT
    • Instrumental
    • Java script object
    • JavaScript Classes
    • JavaScript Form Validation
    • LISHE
    • LOGO
    • MAFUNZO
    • MICHEZO
    • MISEMO
    • MUSIC
    • NEW SONG
    • new song 2023
    • PDF
    • POSTER DESIGN
    • SIMULIZI
    • story
    • TANGAZO
    • TRAINING
    • Web Browser – Definition

    About Us

    About Us
    FACEBOOK ubina damu kazi

    Categories

    • " (3)
    • "ADVERTISEMENT (2)
    • ADVERTISEMENT (2)
    • BONGO FLEVA (10)
    • BURUDANI (5)
    • CHUO CHA UFUNDI MATANGAZO (1)
    • code za link ya kudownload (1)
    • DESICN (1)
    • Document Object Model (1)
    • EDUCATION (1)
    • Event (5)
    • Features and Examples (1)
    • Film (4)
    • FORM (2)
    • forms (1)
    • Google Forms (1)
    • Google Forms to your website (1)
    • HA tunnel free internet and settings (1)
    • HABARI (22)
    • HISTORIA (4)
    • How TO - More Button in Navbar (1)
    • How TO - Read More Read Less Button (1)
    • How To Make Signup Page Using HTML And CSS | Create ... (1)
    • html (4)
    • ICT (1)
    • Instrumental (1)
    • Java script object (1)
    • JavaScript Classes (1)
    • JavaScript Form Validation (1)
    • LISHE (2)
    • LOGO (2)
    • MAFUNZO (1)
    • MICHEZO (24)
    • MISEMO (7)
    • MUSIC (7)
    • NEW SONG (2)
    • new song 2023 (3)
    • PDF (4)
    • POSTER DESIGN (1)
    • SIMULIZI (3)
    • story (1)
    • TANGAZO (4)
    • TRAINING (1)
    • Web Browser – Definition (1)

    Translate

    {ads}

    Responsive Advertisement

    Subscribe Us

    Footer Menu Widget

    • Home
    • About
    • Contact Us

    Random Posts

    3/random/post-list

    Privacy policy

    https://policies.google.com/privacy?hl=en

    Subscribe Us

    Most Popular

    October 20, 2023

    form

    Form

    Form











    UBINADAMU KAZI

    Made with education and dis abled children

    UkTemplate is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable
    Design by - Free Blogger Templates | Distributed by Free Blogger Templates
    • Home
    • About
    • Contact us
    • Privacy Policy
    • Whatssap

    Contact form

    Share to other apps
  • Facebook
  • Twitter
  • Whatsapp
  • Telegram
  • Pinterest
  • LinkedIn
  • Reddit
  • Tumblr
  • Email
  • Copy Post Link